Effective Date: February 11, 2026
Xpeed Logistics Tanzania ("sisi", "yetu") inatambua umuhimu wa faragha yako. Sera hii inaelezea jinsi tunavyokusanya na kutumia taarifa zako kupitia App yetu.
Tunatumia taarifa zako kwa ajili ya: Kuunganisha Maduka na Mabodaboda walio karibu, Kutoa arifa za papo hapo (Notifications), na Kuhakikisha usalama wa malipo na mizigo.
Tunatumia mifumo ya arifa kutoa sauti maalum (Alarms) kwa maduka na madereva pindi oda mpya inapopokelewa. Hii inahakikisha huduma ya haraka kwa mteja.
Hatuuzi wala kutoa taarifa zako kwa watu wa nje. Taarifa zote zinalindwa kwa teknolojia ya kisasa ya usimbaji (encryption).
Email: support@xpeed.shop
Rudi Nyumbani