Mzunguko wa Xpeed

Teknolojia yetu inafanya manunuzi ya mtaani kuwa rahisi, salama, na ya haraka zaidi.

01

Mteja Anaagiza

Mteja anafungua App na kutafuta bidhaa kama "Sukari". Anaona maduka ya karibu, anachagua bei nafuu, na kuweka oda.

02

Rider Anapokea

Oda inatumwa kwa Bodaboda walio karibu. Rider wa kwanza kukubali anapata kazi hiyo na kuelekea dukani haraka.

03

Malipo Dukani

Rider anafika dukani, analipia mzigo kwa pesa yake, na anapiga picha ya mzigo ndani ya App kuthibitisha ubora.

04

Delivery & Cash

Rider anampelekea mteja mzigo mlangoni. Mteja anakagua na kumlipa Rider cash (Gharama ya bidhaa + Usafiri) papo hapo.

Anza Kutumia Xpeed Leo