Je, wewe ni Duka unayetaka wateja zaidi, au ni Bodaboda unayetaka kipato cha uhakika? Chagua hapa chini.
Ongeza mauzo yako kwa kuuza mtandaoni. Sisi tunaleta wateja, Bodaboda wanakuja kuchukua mzigo.
Pata oda za uhakika kila siku. Nunua tokens (kama vocha) ufanye kazi kwa uhuru wako.