Agiza Sukari, Mchele, au Vinywaji kutoka duka la Mangi. Rider atakulipia, unamrudishia mzigo ukifika. Chagua unataka kujiunga kama nani leo:
Mfumo rahisi unaounganisha Duka, Bodaboda, na Wewe.
Mama Lishe na Mangi wanajiunga bure. Tunawaletea wateja bila wao kutoka dukani.
Join FreeWananunua "Tokens" kufanya kazi. Wanalipwa cash papo hapo na mteja.
Token SystemTafuta bidhaa, chagua duka la jirani, letewa mzigo ndani ya dakika 15.
Lipa UkipataTeknolojia iliyotengenezwa kwa ajili ya Tanzania.
Tunaonyesha maduka ya mtaani kwako ambayo Google Maps haijui.
Huna cash kwenye simu? Rider wetu atalipia mzigo dukani, wewe utamrudishia cash akifika mlangoni.
Rider anapiga picha mzigo akiwa dukani. Unauona kabla hajaondoka kuhakikisha ni sahihi.
Pakua App leo uanze kuagiza vitu kwa urahisi, au jiunge nasi kama Dereva au Muuzaji.